THE LOVE OF GOD AND PEOPLE
(Mathayo 22:36-40)
KINGDOM BUSINESS (Mathayo 6:33)
TIME & BUSINESS COACH
Title: THE TREE OF MONEY/ MTI WA FEDHA
LUKA 19:11-27
Vijue vitu vitatu kwenye mti wa fedha;
LOSS+BREAK EVENT+PROFITS
SEED + TIME +HARVEST
CAPITAL +DAYS + RESERVES
#Biashara yeyote itakayo anza na faida lazima utoe 10% fungu
la kumi, 10%upendo-kwa ajiri ya jamii na 10%Vifaa n.k
Mwanzo 8:22, Yohana 12:24, Wagalatia 6:7
Katika Yohana 12:24, kuna maeneo Fulani maishani mwako
lazima yafe kwanza ‘uwe na kitu cha kukifia’ “What are you dying for?” Ukiwa na
kitu cha kufia utakuwa na SHAUKU ya kufanya kitu hicho mara kwa mara. Usiku
mchana unasoma, unafikiri, unatafakari na kuandika.
Tazama Picha ifuatayo;
Una Mtaji wa 5,000,000/=
Capital= 5,000,000/=
Days= 365
Reserve=?
Fungua akaunti 4 (hata kwa benki tofauti tofauti-isiwe na
makato ya mwezi!)
- Capital Account (Ofisi tu
- Reserve Account ( HAITOLEWI HOVYO LABDA KWA EMEGENCY TU
- Building Account (KUJENGA BIASHARA, MASTER PLAN, BUSINESS PLAN
- Profit Account (KWA FAIDA TU
Mungu humwangalia Mtu anatengeneza fedha au anatoa huduma
kwa watu/jamii maana wafanyabiashara wengi wameenda kutafuta fedha na si kutoa
huduma nzuri kwa mteja. Usipo jari wateja ukaanza kufuatilia fedha tu Mungu
ataondoka katika biashara hiyo na maishani mwako. Na usi kopeshe mtaji kopesa
faida tu. Jifunze kuendesha biashara yako kama benki ifanyavyo-benki haikopeshi
mtaji hukosha faida tu.
HITIMISHO
Fedha ina hitaji nidhamu ya hali ya Juu, usiende kutafuta
fedha Mithali 8:10. Umeshindwa kushika million 100 leo kwa sababu hauna maarifa
ya million 100. Tafuta maarifa kwanza ili upate fedha kulingana na maarifa
uliyo nayo.
Unaswali/Maoni/Mapendekezo komenti hapo chini au Una ushuhuda usisite kutuandikia Kupitia hapa au kwa rewiew section ya Facebook
(Tazama kwenye ukurasa huu
utaziona nyota hivi, ziweke upendazo baadae andika hapo-Asante.)
Unaswali/Maoni/Mapendekezo komenti hapo chini au Una ushuhuda usisite kutuandikia Kupitia hapa au kwa rewiew section ya Facebook

No comments:
Post a Comment